- 1,687 viewsDuration: 7:01Kampeni zimenoga nchini Uganda, siku tatu tu kabla ya zaidi ya raia milioni 21 kuelekea debeni kuchagua rais, wabunge na madiwani watakaowaongoza kwa miaka mitano ijayo #bbcswahili #Uganda #YoweriMuseveni #BobiWine #DiraTV Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw