Skip to main content
Skip to main content

Serikali imeimarisha juhudi kukabiliana na athari za ukame

  • | KBC Video
    25 views
    Duration: 1:26
    Serikali imeimarisha juhudi za kupunguza athari za kiangazi katika Maeneo Kame kwa kuharakisha ujenzi wa visima vya maji na kuimarisha utunzaji wa chemichemi muhimu za maji. Katibu wa unyunyiziaji mashamba maji, Ephatus Kimotho, amesema kuwa idara hiyo tayari imechimba visima kadhaa vya maji katika maeneo yanayokumbwa na ukame, yakiwemo Kaunti ya Kajiado ambayo kwa sasa inakabiliwa na makali ya kiangazi. Mpango huu unalenga kuboresha upatikanaji wa maji kwa jamii na mifugo wakati wa vipindi virefu vya ukame. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive