Wanafunzi45 wanasoma kupitia mpango wa Usawa Kwa Wote wamepata alama za kujiunga na chuo kikuu katika mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne wa mwaka jana katika kaunti ya Kericho. Akizungumza wakati wa kusherehekea matokeo hayo huko Chemosot kaunti ndogo ya Bureti, mwakilishi wanawake wa kaunti ya Kericho Beatrice Kemei alisema mpango huo unaofadhiliwa na hazina ya mipango maalum ya serikali ya kitaifa-NGAAF, unalenga wanafunzi kutoka familia zisizojiweza.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive