Sulemana Abdul Samed : 'Mimi ndiye mtu mrefu zaidi Ghana'

  • | BBC Swahili
    1,222 views
    Sulemana Abdul Samed anayejulikana kama Awuche kutoka Gambaga anasema yeye ndiye mtu mrefu zaidi nchini Ghana. Kila anakokwenda watu huomba picha na yeye. Anasema kutokana na urefu wake ilifika hatua hadi aliambiwa ana ugonjwa nadra sana unaoitwa gigantism, ambao unaweza kutibiwa kwa upasuaji. #bbcswahili #ghana #vijana