Skip to main content
Skip to main content

Binti kutoka Kitutu Masaba ajikuta mjakazi licha ya nafasi shule ya kitaifa

  • | Citizen TV
    109 views
    Huku wanafunzi wa gredi ya 10 wakiendelea kuripoti shule mbalimbali nchini, binti mmoja kutoka eneo la Kitutu Masaba amelazimika kuwa mjakazi, licha ya kupata nafasi katika shule ya kitaifa. Cecilia Kerubo ameshindwa kwenda katika shule ya upili ya Litein iliyoko kaunti ya Kericho alikotarajiwa kuripoti. Kerubo anasema bado hajakata tamaa kuwa ndoto yake ya kuwa Daktari itatimia