- 16,317 viewsDuration: 28:10Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni hii leo alifanya kampeni yake ya mwisho katika mji mkuu wa Kampala akijianda kwa uchaguzi mkuu nchini humo utakaofanyika siku ya Alhamisi. Melfu ya wafuasi wake walijitokeza katika uwanja wa Kololo wakiunga mkono azma yake ya kurejea madarakani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw