Skip to main content
Skip to main content

Vijana wa eneo la Ukambani wapokea fedha za mpango wa NYOTA

  • | KBC Video
    470 views
    Duration: 4:18
    Rais William Ruto leo aliupeleka mpango wa Nyota katika kaunti ya Machakos, ambapo aliwataka vijana kuunga mkono utawala wa Kenya Kwanza, ili kujiondoa katika lindi la umaskini. Rais Ruto alishawishi eneo la Ukambani, akiwaonya dhidi ya kuunga mkono Upinzani, kambi ambayo aliishutumu kwa kukosa ajenda kwa nchi. Aidha alitoa changamoto kwa vijana 5900 ambao wamenufaika na mpango wa Nyota katika kaunti za Machakos, Kitui na Makueni kutumia fedha hizo kubuni fursa za ajira sio kwa ajili yao wenyewe tu, bali pia kwa jamii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive