Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la Kitaifa la kukabiliana na saratani laandaliwa jijini Nairobi

  • | KBC Video
    70 views
    Duration: 3:05
    Wizara ya Afya imezindua mpango wa Kitaifa wa mwaka wa 2026 hadi mwaka wa 2030 wa kutokomeza saratani ya mlango wa uzazi unaozingatia kinga kupitia chanjo, uchunguzi wa wakati na kuhakikisha kila mwanamke aliyegunduliwa kuwa na saratani hiyo anakamilisha matibabu yake.Akizungumza wakati wa kongamano la Kitaifa jijini Nairobi, Waziri wa Afya Aden Duale alifichua kwamba humu nchini, vifo 3500 vya saratani ya mlango wa uzazi huripotiwa kila mwaka. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive