Skip to main content
Skip to main content

Biashara I Kwanini kampuni za Kenya zinazouza bidhaa katika nchi za kiarabu hupata hasara

  • | KBC Video
    504 views
    Duration: 2:19
    Kampuni za Kenya zinazouza bidhaa katika muungano wa milki za kiarabu hupata hasara ya shilingi bilioni saba kwa mwaka kutokana na udanganyifu, uwekaji duni wa hati na bidhaa duni. Rais wa chama cha biashara na viwanda humu nchini Eric Rutto amesema kuwa kampuni kadhaa za uuzaji bidhaa nje zinakumbwa na changamoto za kisheria kutokana na kesi za udanganyifu zilizokifanya chama hicho kutafuta huduma za kisheria kushughulikia mizozo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive