Eneo la Greater Bay nchini China linaendelea kujitokeza kwa kasi kama kitovu kipya cha teknolojia, huku idadi ya kampuni za kimataifa ikiongezeka kuanzisha shughuli zao katika Hifadhi ya Hong Kong ya Ukanda wa Ushirikiano wa Ubunifu wa Sayansi na Teknolojia wa Hetao Shenzhen–Hong Kong, mwezi mmoja tu baada ya kuzinduliwa rasmi. Haya ni katika makala ya Ifahamu China
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive