- 14,759 viewsDuration: 2:51Rais Yoweri Kaguta Museveni ametangazwa mshindi katika uchaguzi wa urais nchini Uganda , hivyo kuendelea kuwa rais wa nchi hiyo kwa zaidi ya miongo minne ya utawala wake kwa kipindi kingine cha miaka mitano . Matokeo hayo yaliyotangazwa jumamosi hii yanampa Museveni, mwenye umri wa miaka 81, fursa ya kutawala uganda kwa awamu ya saba mfululizo. Mpinzani wake Bobi Wine amepinga matokeo ya uchaguzi huo akidai ulighubikwa na udanganyifu mkubwa. Ben Kirui na maelezo.