- 2,437 viewsDuration: 2:49Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametetea ushindi wake kwenye uchaguzi mkuu wa alhamisi, akiwashutumu viongozi wa upinzani kwa kile amekitaja kama kujaribu kuvuruga amani. Museveni amehutubia taifa siku moja baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi huo mkuu huku waangalizi wa afrika wa uchaguzi huo wakisema uchaguzi huo uliandaliwa kwa njia huru na ya amani.