- 10,998 viewsDuration: 3:18Tofauti katika chama cha ODM zimeendelea huku sasa wanawe marehemu kinara wa ODM Raila Odinga wakiwasuta wale wanaosema wameteka chama hicho. Mbunge wa Yala Winnie Odinga na nduguye Junior Odinga sasa wakisema hawatababishwa kutoa misimamo yao wakisema wataongoza juhudi za ku;kikomboa chama kutoka kwa wale wanaosema wamekiteka nyara. Wawili hawa walihudhuria ibada na kushiriki mkutano wa kisiasa eneo la Kibra