- 1,504 viewsDuration: 2:42Viongozi wa Kenya Kwanza wameendelea kukosoa mfumo wa siasa za kinara wa DCP Rigathi Gachagua wakimlaumu kwa kujaribu kulitenga eneo la mlima Kenya katika masuala ya maendeleo ya serikali. Wakizungumza kwenye hafla tofauti kaunti za Meru na Kirinyaga, wanasiasa wa Kenya Kwanza pia walimzomea kwa kile wanasema ni kuanza kuporomoka kwa chama cha cha DCP