Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaagiza ukaguzi wa wanafunzi huku asilimia 60 pekee ya gredi ya 10 wakiripoti shuleni

  • | Citizen TV
    389 views
    Duration: 3:33
    Serikali imeagiza ukaguzi wa wanafunzi katika maeneo mbalimbali nchini ili kutathmini sababu za maelfu ya wanafunzi wa gredi ya 10 kutofika shule hadi sasa. Hii ni baada ya wizara ya usalama wa kitaifa kukiri kuwa ni asilimia 60 tu ya wanafunzi walioripoti shule kufikia sasa. Haya yakijiri huku wanafunzi zaidi waliofanya vyema kwenye mtihani wa KJSEA wakisalia nyumbani bila uwezo wa kujiunga na shule walizotakiwa kujiunga nazo. Wataalam wa elimu sasa wanaonya kuwa mzigo mzito wa mtaala wa CBE sasa unatia wasiwasi