- 1,649 viewsDuration: 3:09Familia moja katika eneo la Kasipul kaunti ya Homa Bay ni ya punde zaidi kujitokeza kutoa kilio cha jamaa yao aliyeondoka kwenda nchini urusi na sasa hajulikani aliko. Kwa mujibu wa familia ya Duncan Otieno, jamaa yao alikuwa ameahidiwa kazi nchini Uturuki ila alipoondoka, aliwasiliana nao kuwaarifu kuwa alisafirishwa hadi urusi kuhudumu kama mwanajeshi