- 1,517 viewsDuration: 27:41Africa Eye imepewa fursa ya kipekee ya kufuatana na Polisi wa Sierra Leone kupambana na magenge ya kihalifu yanayofanya biashara haramu ya binadamu Afrika Magharibi na kumsaidia baba mmoja katika jitihada zake za kuwatafuta watoto wake waliopotea. #bbcswahili #sierraleone #biasharaharamu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw