20 Jan 2026 10:33 am | Citizen TV 186 views Duration: 1:59 Mradi wa ufadhili wa masomo ya shule za upili za juu kwa wanafunzi waliojiunga na shule za kitaifa kutoka kaunti ya Kilifi umeleta afueni kwa wazazi