- 2,824 viewsDuration: 1:02Wahudumu wa bodaboda mjini Webuye wamelalamikia kudorora kwa hali ya usalama mjini humo na viunga vyake hasa baada ya kuuawa kwa mmoja wao usiku wa kuamkia jumapili. Mwili wa marehemu ukipatikana na majeraha mabaya katika eneo la weighbridge mjini humo.