- 15,948 viewsDuration: 2:39Mkuu wa majeshi ya Uganda ambaye pia ni mwanawe rais Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba amezua tetesi baada ya matamshi yake kwenye mtandao wa x akielezea ari ya kutekeleza mauaji ya kiongozi wa upinzani Bobi Wine. Kwenye ujumbe wake, Muhoozi pia ameshabikia mauaji ya wafuasi 22 wa chama cha Bobi Wine cha NUP. Haya yamejiri huku Bobi Wine akizungumza akiwa mafichoni na kuwataka wanajeshi kuiwacha huru familia yake