Skip to main content
Skip to main content

Mwanaume akamatwa baada ya kushukiwa kumuua babake

  • | Citizen TV
    1,774 views
    Duration: 2:06
    Polisi katika eneo bunge la Konoin wanamzuilia mwanamume mwenye umri wa miaka 25 kwa madai ya kumuua babake kwa kumdunga kisu kufuatia mzozo wa kinyumbani usiku wa kuamkia jana.