Skip to main content
Skip to main content

Mwili wa kijana wapatikana na majeraha kadhaa ya kisu, Nakuru

  • | Citizen TV
    4,530 views
    Duration: 4:40
    Mwili wa Kijana mmoja umepatikana Leo asubuhi baada ya kuvamiwa na kuuawa na na genge la watu wasiojulikana. Mwili huo uliokuwa na alama za kudungwa na kisu umechukuliwa na maafisa wa polisi Katika eneo la pinewood Nakuru mashariki huku wakazi sasa wakilalamikia utovu wa usalama Katika maeneo hao, wafanyibiashara.