21 Jan 2026 10:41 am | Citizen TV 133 views Duration: 1:48 Baadhi ya vijana kutoka mji wa Garsen kaunti ya Tana River wameghadhabishwa na hali duni ya usafi wa mji huo na kutoa changamoto kwa serikali ya kaunti hiyo kuwapa ajira vijana hao ya kunadhifisha mji huo.