Skip to main content
Skip to main content

Ushauri kwa walimu Mwingi

  • | Citizen TV
    128 views
    Duration: 1:08
    Mbunge wa Mwingi Kaskazini Paul Nzengu amewahimiza walimu kuwaruhusu wanafunzi kuendelea kusalia shuleni licha ya kukosa karo haswa wakati huu ambapo shule zinakabiliwa na uhaba wa fedha mbali na ukame kushuhudiwa katika maeneo mengi ya ukambani Nzengu alizungumza katika Wadi ya Tharaka wakati wa zoezi la ushirikishaji wa umma kuhusu utoaji wa ufadhili wa masomo ambapo jumla ya shilingi milioni 65 zitapewa wanafunzi katika eneo bunge hilo. Ameongeza kuwa wazazi wanapitia wakati mgumu kutokana na mvua kukosekana na hali ngumu ya maisha.