Skip to main content
Skip to main content

Ruto amteua Ida Odinga kuwa balozi wa Kenya katika UNEP

  • | Citizen TV
    15,779 views
    Duration: 2:21
    Rais William Ruto amemteuwa mjane wa waziri mkuu wa zamani hayati raila Odinga Ida Odinga kuwa balozi wa kenya katika shirika la mazingira la umoja wa mataifa UNEP, akimsifia kwa uzalendo na uchapakazi wake. Rais Ruto alisema Mama Ida ameonyesha ukakamavu tangu alipokuwa mwalimu katika shule kadhaa za upili nchini na baadaye katika nafasi kadhaa za usimamizi.