Skip to main content
Skip to main content

Ajali ya trela ya mafuta ya ndege barabara ya Southern Bypass yaua mtu mmoja, wengine wajeruhiwa

  • | Citizen TV
    12,299 views
    Duration: 2:47
    Mtu mmoja amefariki na mwingine kujeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea katika barabara ya southern by pass jijini Nairobi. Trela moja iliyokuwa ikisafirisha mafuta ya ndege inaripotiwa kukosa mwelekeo na kuanguka kabla ya kugonga trela nyingine na kulipuka. Magari mengine matatu yaliharibika kufuatia kisa hicho.