Skip to main content
Skip to main content

Kindiki aiambia ODM iache vitisho

  • | Citizen TV
    20,058 views
    Duration: 3:02
    Naibu rais Profesa Kithure Kindiki amesema hatatishwa na kauli ya kiongozi wa ODM Oburu Oginga kwamba chama hicho kinamezea mate kiti chake kwenye kinyang'anyiro cha mwaka wa 2027. Viongozi waliokuwa naye Kindiki nao wamesisitiza kuwa nafasi ya naibu rais sawia na ya urais si za kujadiliwa na ni za chama cha UDA. Viongozi wa kenya kwanza wakiwa katika maeneo tofauti pia wametaka upinzani kukoma kukashifu miradi ya maendeleo na badala yake kuwasilisha sera mbadala.