Skip to main content
Skip to main content

Mapigano Yazuka Bungeni Uturuki!

  • | BBC Swahili
    34,014 views
    Duration: 1:08
    Ngumi zilirushwa katika bunge la Uturuki Jumatano wakati wabunge wakipambana kuhusu uteuzi wa waziri mpya wa sheria. Je nini kwanini uteuzi huu umepingwa kwa nguvu zote? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw