- 1,623 viewsDuration: 59sWaziri wa afya Aden Duale ametetea vikali uteuzi wa maafisa wakuu wa huduma za SHA katika kaunti mbalimbali, kufuatia malalamiko kutoka kw aumma kuhusu maafisa wengi walioteuliwa kutoka eneo moja la nchi. Duale amesema kuwa kazi zilitolewa kulingana na tajriba na ustahili. Duale amesema hakuwa na ushawishi wowote kwenye uteuzi huo ambao umekosolewa kwa kuwa na maafisa 22 kati ya 47 waliotoka katika jamii mbili pekee nchini