Skip to main content
Skip to main content

Mradi wa ujenzi watoa matumaini kwa maelfu ya wajane

  • | Citizen TV
    368 views
    Duration: 3:13
    Licha ya kuwepo kwa sheria ya kuzuia unyanyapaa wa wajane humu nchini, maelfu bado wanakumbwa na madhila. Mara nyingi kupokonywa urithi kumekuwa changamoto kubwa kwa wajane na wana wao, wengine hata wakikosa nyumba za kuwasitiri. Hata hivyo, mradi wa ujenzi unaolenga wajane unabadilisha dhana hiyo na kuwapa matumaini.