Skip to main content
Skip to main content

Mtawa Markina Nyambura asherehekea miaka 70 ya huduma kanisani

  • | Citizen TV
    827 views
    Duration: 3:17
    Familia, marafiki na waumini wa kanisa katoliki walijumuika kusherehekea huduma za Mtawa Markina Nyambura ambaye alitembea kwa miguu kwa zaidi ya kilomita 60 alipokuwa na umri wa miaka 17, ili kujiunga na muungano wa watawa wa Mary immaculate kaunti ya Nyeri. Tangu siku hiyo, miaka 70 baadaye, mtawa Nyambura amekuwa akitoa huduma zake kwa kanisa katoliki