- 16,579 viewsDuration: 10:02Biashara haramu ya nyama na ngozi ya punda bado ipo licha ya marufuku iliyowekwa. Katika kaunti za Turkana, Machakos na Embu, mnyama huyu anayetegemewa na wengi sasa yuko katika hatari ya kuangamia. Na kama anavyoarifu evans asiba kwenye sehemu ya kwanza ya makala maalum ya punda ng'ombe, cha kusikitisha ni kuwa biashara haramu ya punda inaendelea nchini machoni pa polisi