Skip to main content
Skip to main content

Je, Ulaya itaweza kumzuia Trump?

  • | BBC Swahili
    15,942 views
    Duration: 1:51
    Rais wa Marekani Donald Trump ameibua mvutano mpya na Ulaya kuhusu kisiwa cha Greenland, akisisitiza kuwa Marekani inataka umiliki kamili badala ya kukodisha na kuwambia viongozi wa Ulaya wana nafasi ya kuamua, wanaweza kusema ndio au hapana. Peter Mwangangi anaelezea #bbcswahili #marekani #Trump Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw