- 55 viewsDuration: 2:52Chuo cha Mafunzo ya kiufundi cha Mathenge kiliwashirikisha wanafunzi kutoka taasisi mbalimbali katika kaunti za Nyeri, Meru na Tharaka kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Elimu ya Mazingira mwaka huu kama sehemu ya kukuza uelewa wa masuala ya mazingira na hatua za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi miongoni mwa vijana. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive