- 125 viewsDuration: 3:10Wanawake katika kaunti ya Samburu wamemtetea mwakilishi wanawake katika bunge la kaunti dhidi ya madai ya kutumia visivyo chakula cha msaada. Wanawake hao walilaani maandamano dhidi ya mbunge huyo wakidai yalifadhiliwa na wapinzani wake wa k8isiasa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive