- 166 viewsDuration: 2:48Sekta ya magari nchini China imedhihirisha ukuaji mkubwa baada ya utengenezaji na mauzo ya magari kufikia viwango vya juu zaidi kuwahi kushuhudiwa mwaka 2025. Haya ni kwa mujibu wa takwimu mpya za sekta hiyo. Mafanikio haya yanaakisi kuimarika kwa uchumi wa viwanda pamoja na ongezeko la hitaji la magari ya kawaida na yanayotumia nishati endelevu. Maelezo zaidi katika makala ya ifahamu china Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive