Skip to main content
Skip to main content

Sebastian Onyango aridhia kurudia Gredi-9 baada ya kukosa karo

  • | KBC Video
    460 views
    Duration: 3:38
    NDOTO ILIYOKWAMIZWA Sebastian Onyango, aliyefanya mtihani wa gredi ya tisa mwaka jana na kupata alama 62 amewashangaza walimu na wanafunzi wenzake baada ya kuamua kurudia gredi ya tisa kutokana na ukosefu wa karo ya shule. Onyango aliwaomba walimu kumruhusu kurudia gredi ya tisa kwa matumaini kwamba familia yake itaweza kumlipia karo mwaka ujao. Kisa cha Onyango sio cha kipekee na kinaibua maswali chungu nzima kuhusu upatikanaji wa elimu kwa watoto kutoka mazingira magumu humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive