Skip to main content
Skip to main content

Walimu kutoka shule za msingi wapata mafunzo Wajir

  • | Citizen TV
    87 views
    Duration: 1:32
    Walimu kutoka shule za msingi Wajir Mashariki na sehemu za Wajir Magharibi wanapitia mafunzo maalum ya kuboresha matumizi ya teknolojia darasani. Mafunzo hayo yanalenga kuimarisha ushirikishwaji wa wanafunzi na uwezo wa kutatua changamoto za sasa za kiteknolojia.Maafisa wa elimu wanasema mafunzo hayo yatawasaidia walimu kujumuisha Teknolojia, Habari na Mawasiliano kikamilifu katika masomo ya kila siku, hasa katika maeneo Kame ambako upatikanaji wa rasilimali za kidijitali bado ni changamoto.