Skip to main content
Skip to main content

Watu 7 waripotiwa kujeruhiwa kwenye vurugu iliyotokea mkutanoni Kitengela

  • | Citizen TV
    23,387 views
    Duration: 4:10
    Watu saba wameripotiwa kujeruhiwa baada ya polisi kurusha vitoa machozi kwenye mkutano wa kisiasa wa mrengo wa ODM unaoongozwa na katibu mkuu Edwin Sifuna eneo la Kitengela kaunti ya Kajiado. Mkutano huu ulitatizwa kiasi kufuatia wingu la vitoa machozi huku wanasiasa waliozungumza wakielezea uungaji mkono wao kwa Sifuna kusalia Katibu mkuu. Aidha, waliendelea kurusha makali kwa wale wanasema wameuza na kuvuruga chama cha ODM.