Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa ODM wasisitiza wanataka unaibu rais

  • | Citizen TV
    19,388 views
    Duration: 3:32
    Viongozi wa chama cha ODM wamesisitiza katika mazungumzo na chama cha UDA watataka nafasi ya naibu wa rais kutengewa mwanamke kutoka chama hicho cha ODM. Wakizungumza huko Kwale na Mombasa viongozi hao wamemsuta katibu wa chama Edwin Sifuna wakimtaja kuwa msaliti chamani ODM na kwamba ana njama ya kukisambaratisha chama cha chungwa.