- 178 viewsDuration: 1:09Kesi kuhusu mzozo wa udhibiti wa kampuni ya Directline Assurance Company Limited itaendelea tena tarehe 12 mwezi ujao. Mwenyekiti wa kampuni ya Royal Media Services Dkt. SK Macharia alifika mahakamani leo kwenye kikao cha kusikiza hoja ya kutaka ashtakiwe kwa kukaidi amri za mahakama kuhusiana na uteuzi wa maafisa wapya wa kusimamia kampuni ya Directline Assuarance