Skip to main content
Skip to main content

Ateleza katika theluji wakati wa dhoruba

  • | BBC Swahili
    3,714 views
    Duration: 16s
    Mshiriki katika mashindano ya kuteleza kwenye theluji katika michezo ya Olimpiki Shawn White alipata muda wa kuonesha ujuzi kwenye miteremko ya muda katika bustani kuu ya Jiji la New York Marekani. Onyesho lake lilitokea wakati wa dhoruba kubwa ya majira ya baridi kali ambayo imefunika sehemu kubwa za Marekani kwa theluji na barafu. Dhoruba hiyo imewaacha watu wengi wakiwa wamekufa na mamia ya maelfu bila umeme. #bbcswahili #marekani #theluji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw