- 8,033 viewsDuration: 3:01Serikali inaona maridhiano kama mchakato unaohitaji utulivu na utaratibu. Upinzani unaona kama haki iliyochelewa kutendeka. Katikati ya mitazamo hiyo miwili, Watanzania wanasalia wakijiuliza maridhiano haya ni ya nani, kwa ajili ya nani, na kwa gharama gani? Yusuph Mazimu anaelezea zaidi #bbcswahili #tanzania #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw