Skip to main content
Skip to main content

Mayaya waliokuwa Saudi Arabia waandamana Mombasa wakidai kudhulumiwa

  • | Citizen TV
    5,060 views
    Duration: 3:00
    Baadhi ya wakenya walioelekea nchini saudia arabia kufanya kazi za nyumbani wameelezea madhila waliyopitia kabla ya kuamua kurudi nyumbani. Baadhi yao wamedai kuteswa na waajiri wao, kufanya kazi kwenye mazingira magumu na hata kunyimwa mishahara na chakula. Na kama anavyoarifu francis mtalaki ripoti ya shirika la Oxfam imebaini kuwa asilimia 89 ya visa vya dhulma za kijinsia nchini ni vya wafanyakazi wa nyumbani