- 497 viewsDuration: 1:32Mfanyabiashara George Gathu, aliyeuawa kwa Kupigwa risasi na afisa wa polisi mjini Karatina siku 10 zilizopita amezikwa nyumbani kwao kijijini Gikororo eneo bunge la Mathira kaunti ya Nyeri, huku kilio cha haki kwa familia yake kikisheheni