Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa risasi Kitengela walilia haki, waomba polisi wachukue hatua dhidi ya wahusika

  • | Citizen TV
    1,980 views
    Duration: 3:17
    Watu wawili waliopigwa risasi siku tatu zilizopita katika eneo moja la burudani mjini Kitengela kaunti ya kajiado wanalilia haki wakitaka polisi kufanya hima kuwachukulia hatua waliohusika. Kupitia wakili wao Daniel Kanchory, waathiriwa wametaka uchunguzi huo kutohitilafiwa licha ya wale wanaodaiwa kuhusika kuwa maafisa wakuu wa upelelezi. Haya yamejiri huku maafisa wa upelelezi na wale wa IPOA wakirejea eneo la tukio kukusanya kanda za CCTV kusaidia kwa uchunguzi.