Skip to main content
Skip to main content

Gor Mahia wafanya mazoezi kujiandaa kwa pambano na Sofapaka Fc

  • | Citizen TV
    209 views
    Duration: 1:03
    Viongozi wa ligi kuu ya kenya Gor Mahia Fc wamerejea mazoezini huku wakijiandaa kwa pambano gumu dhidi ya Sofapaka Fc jumamosi kwenye uwanja wa taifa wa Nyayo. Gor Mahia ilishinda mkondo wa kwanza 2-0 kwenye uwanja wa dandora lakini benchi la kiufundi haliachi chochote kwenye ligi ambayo inazidi kuwa na ushindani mkubwa.