- 460 viewsDuration: 1:53Wazee wa jamii ya Adam Ali kutoka Authaq wamefutilia mbali vikali madai yanayosambazwa na baadhi ya wazee wakidai kuwa mgombea wa kiti cha ugavana wa kaunti hii, Mhandisi Mohamed Mowlid Shuriye, amebakishwa na kumuunga mkono Gavana Ali Korane.