- 1,178 viewsDuration: 3:39Maafisa wakuu wa wizara ya elimu wamejipata kwenye darubini kutoka kwa wabunge kuhusu sera za elimu nchini, haswa mpito wa wanafunzi wa gredi ya 10. Waziri wa elimu Migos Ogamba akibanwa kujitetea pamoja na makatibu wake kwa kutojua baadhi ya maswali muhimu waliyoulizwa na wabunge. Ogamba akishindwa kubaini hata gharama ya kumuelimisha mwanafunzi mmoja