Skip to main content
Skip to main content

Muungano wa upinzani wafanya mkutano na IEBC

  • | Citizen TV
    2,108 views
    Duration: 2:42
    Muungano wa upinzani umefanya mkutano wa faragha na tume ya uchaguzi nchini IEBC na kuitaka tume hiyo kuelezea mikakati yake ya kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao unakuwa wa huru na haki. Viongozi hao wakiiambia IEBC kuwa hawataki kampuni ya smartmatic kutoka Venenzuela kutumika katika uchaguzi wa mwaka ujao